Thursday, June 4, 2015

WATER PROJECT FOR MUHARAMBA VILLAGE-GEITA DISTRICT


Ujenzi huo hapo juu ni wa mradi wa maji katika katika kijiji cha Mharamba-Kata ya Nkome Wilayani Geeita mkoa wa Geita.


Mashine hii ni ya kuun ganisha mabomba ya HDPE (BUT FUSION WELD) ambayo kampuni ya FARE TANZANIA LTD ina mashine hizo.

Wednesday, June 3, 2015

BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA KAZI TUFANYAZO

Picha zifuatazo zinaonyesha shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni FARE TANZANIA LIMITED.Pia tumejaribu kuonyesha baadhi ya vifaa vya ujenzi nk.







KARIBUNI, TUPO GEITA MJINI MKABALA NA SKY LINE HOTEL.